KATIKA hali ya ucheshi Patcho Mwamba alituma picha yake kwenya ukurasa wake wa Instagram akiwa kavimba uso kutokana na matatizo ya allegy. Na chini ya picha hiyo alitoa maelezo kuwa akinywa bia anavimba uso hivyo na kuuliza kama mtu anajua dawa.
Katika hali ambayo inadhihirisha mitandao ya jamii inavyotumiwa vibaya na watu wengine picha hiyo ikaanza kusambazwa katika whatsapp ikieleza kuwa huo ni uso wa Patcho baada ya kupigwa kutokana na kufumaniwa, na hata maelezo mengine yakidai tukio hilo lilitokea Sinza Hotel.
Yote ni uzushi ambao unatisha kwani siku hizi mengi huzuliwa na watumia mitandao wasio na busara au hata utu kidogo.
Pole Patcho Umaarufu una gharama

No comments:
Write Komenti