Katika hali isiyotarajiwa tena kwa mara ya kwanza mwanajeshi mrembo Bi.Deshauna Barber mwenye umri wa miaka 26 ameibuka mshindi katika shindano la kumtafuta mrembo wa Marekani lililofanyika hapo jana.Bi Barber afisa wa jeshi kutoka jimbo la Columbia sio tu ni mrembo bali jibu lake alilolitoa wakati wa kipindi cha maswali na majibu ndilo lililowapagawisha zaidi majaji.
No comments:
Write Komenti